Sometimes ukitaka kujua the context ya sermon yoyote ya yesu, kisa au kitabu flani,, kwenye bible,, huwa tunatumia bible commentary, inaelezea deep meaning ya section unayotafuta na history ya kitabu hcho,, huelezea pia maneno ya ukakasi kwa maana ya lugha mama ( kiyunani au kihebrania) mostly hutumiwa na wachungaji mafunzoni kipindi wanasoma theology,,,
Kwa context ya song of Solomon,, it's not fact kuwa mashahiri yanatumika kama illustration ya upendo wa mwanadamu kwa Mungu,, that's why ujumbe wake ni tofauti na vitabu vyenzake vya mashahiri ( ayubu, zaburi, mithali, muhubiri),, ndo maana kwa ndoa za kiyahudi kinatumiwa sana