Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Mamchungaji samahani..Kama ndege wa angani
Samaki wa majini
Nami Mungu kanipa pa kukaa kando yako
Nina furaha na amani mapenzi ya dhati
Unayonipa sijawahi ona.
And I need you kifo cha mende chali (eeehee)
Body to body (eeehee)
Monday to Monday
And I need you body to body (eeehee)
Monday to Monday (eeehee)
Oh baby do me like it's my birthday
I've been around the world but never seen such kind of love (eehh)
Such kind of love (eehh)
Such kind of love (eehh)
I've been around the world, but never seen such kind of love (eehh)
Such kind of love (eehh)
Such kind of love (eehh)
Oh baby
#Mahabandindindi#
View attachment 2118712
Rafiki ile vocha ulipata kweli, au wajanja wamewahi?Kwangu kama wimbo hauplay ?
DuhWigelekelo
anasbo
_KINGO_
mrangi
Deeboyfrexh
Satoh Hirosh
Kinywa cha malaya ni shimo refu; Anayechukiwa na BWANA atatumbukia ndani yake.
Kwa maana kahaba ni shimo refu; Na malaya ni rima jembamba.
π₯Άπ₯Άπ₯Άπ₯Άπ²π²π²π²π±π±π±π±π±π₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ί
Asante rafikiRafiki ile vocha ulipata kweli, au wajanja wamewahi?
Asante nimesikiliza sasa ...Kipande kizuri kweliHeaven Sent Saint Anne Wigelekelo Tinsley Khantwe
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059] short version nikisia hiki kipande roho inafurahi kupita maelezo
View attachment 2118765
hongera, kuna mwingine atakua amekuwahi moja,Asante rafiki
Nilipata moja tu.
Aisee haya rafiki Asantehongera, kuna mwingine atakua amekuwahi moja,
kaa mkao wa kula napandisha nyingine sasa hivi
Eeh unaruhusiwa kuutumia kwa mkeo tu lakini[emoji188][emoji188][emoji188]Mamchungaji samahani..
Huo mstari wakwanza, aya ya pili na waumini tunaruhusiwa kuutumia au huo ni nyie tuu..??[emoji2][emoji2]
Samahani lakini.
πππAsante sana hizi nimepata zote .
Mpendwa wangu ni wangu, na mimi ni wake; hulisha kundi lake penye nyinyoro.Asante Yesu Kristo, nakupenda kwasababu ulipenda kwanza na kwasababu ulimimina pendo lako moyoni mwangu..
Usiku kitandani nalimtafuta mpendwa wa nafsi yangu, Nalimtafuta, nisimpate.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nimechoka kwa kuugua kwangu; Kila usiku nakieleza kitanda changu; Nalilowesha godoro langu kwa machozi yangu.
Heaven Sent
You realize that it says "kifo cha mende" right? Asante kwa kunifumbua macho mama pastor.Eeh unaruhusiwa kuutumia kwa mkeo tu lakini[emoji188][emoji188][emoji188]
Sent using Jamii Forums mobile app
You realize that it says kifo "cha mende" right? Asante kwa kunifumbua macho mama pastor.
Me aje aniimbie wa Ruby majeshi.. nataka nikampestie mtoto wa mtu