Ni sawa kabisa lakini akumbuke huko wanawake hawana muda wa kupika, kufua, kulea watoto, na wala kumtengea mume maji ya kuoga! Watoto wengi wanalelewa na nannies na maisha yanaenda poa tu na majukumu ya nyumbani ni ya wote siyo ya mwanamke tu kitu ambacho wanaume wengi wa kiafrika hawataki kukisikia, kwahiyo wavumilie tu maana ndiyo mgawanyo wa majukumu wanaoutaka huo wataendelea kupewa boxer hadi akili zitakapowarudi!