Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Feb 9, 2022 #146,081 Wigelekelo said: Kaka yako Ulimjulisha Kuhusu hilo jambo Click to expand... Jambo gani? Kula korosho??
Wigelekelo said: Kaka yako Ulimjulisha Kuhusu hilo jambo Click to expand... Jambo gani? Kula korosho??
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Feb 9, 2022 #146,082 Wigelekelo said: Sasa hapa Ndio umesemaje Click to expand... Mimi mwenyewe najifunza bado .
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Feb 9, 2022 #146,083 Wigelekelo said: Mwanzo umesema Muda kama ule wa jana Umebadilika tena Click to expand... Sijui nini kinanichanganya aisee Ipo siku nitaacha picha ikae muda mrefu .
Wigelekelo said: Mwanzo umesema Muda kama ule wa jana Umebadilika tena Click to expand... Sijui nini kinanichanganya aisee Ipo siku nitaacha picha ikae muda mrefu .
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Feb 9, 2022 #146,084 Wigelekelo said: Click to expand... Aisee huyu mtu chake ,jana amenijazia sifa kede kede wakati sipo hivyo kabisa .
Wigelekelo said: Click to expand... Aisee huyu mtu chake ,jana amenijazia sifa kede kede wakati sipo hivyo kabisa .
Baba Swalehe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 20,220 Reaction score 39,854 Feb 9, 2022 #146,085 Drippin Doctor....
Strawbella JF-Expert Member Joined Mar 24, 2021 Posts 1,758 Reaction score 5,803 Feb 9, 2022 #146,086 Baba Swalehe said: Drippin Doctor.... View attachment 2113867 Click to expand... Mguu nimeulewa,salute...
Baba Swalehe said: Drippin Doctor.... View attachment 2113867 Click to expand... Mguu nimeulewa,salute...
Baba Swalehe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 20,220 Reaction score 39,854 Feb 9, 2022 #146,087 Strawbella said: Mguu nimeulewa,salute... Click to expand... Npo single karbu 😂😂😂😎
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Feb 9, 2022 #146,088 Chakorii said: pole Kwa kuvunjika moyo Click to expand... Daah si ni life tu
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,034 Reaction score 6,038 Feb 9, 2022 #146,089 Tinsley said: Aisee huyu mtu chake ,jana amenijazia sifa kede kede wakati sipo hivyo kabisa . Click to expand... Mkuu nakusalimia kwa jina la usiku wa jana. Ile salamu nyingine, inayoanza kama hii siipendi kabisa.
Tinsley said: Aisee huyu mtu chake ,jana amenijazia sifa kede kede wakati sipo hivyo kabisa . Click to expand... Mkuu nakusalimia kwa jina la usiku wa jana. Ile salamu nyingine, inayoanza kama hii siipendi kabisa.
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Feb 9, 2022 #146,090 Brian Spilner said: Mkuu nakusalimia kwa jina la usiku wa jana. Ile salamu nyingine, inayoanza kama hii siipendi kabisa. Click to expand... Habari ya leo Mkuu Ya jana yamekwisha
Brian Spilner said: Mkuu nakusalimia kwa jina la usiku wa jana. Ile salamu nyingine, inayoanza kama hii siipendi kabisa. Click to expand... Habari ya leo Mkuu Ya jana yamekwisha
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,034 Reaction score 6,038 Feb 9, 2022 #146,091 Tinsley said: Habari ya leo Mkuu Ya jana yamekwisha Click to expand... Nakusalimia tu mkuu, wala sina lingine.
Tinsley said: Habari ya leo Mkuu Ya jana yamekwisha Click to expand... Nakusalimia tu mkuu, wala sina lingine.
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Feb 9, 2022 #146,092 Brian Spilner said: Nakusalimia tu mkuu, wala sina lingine. Click to expand... Anha vyema Mkuu .
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,034 Reaction score 6,038 Feb 9, 2022 #146,093 Tinsley said: Anha vyema Mkuu . Click to expand... Bila shaka hujambo
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Feb 9, 2022 #146,094 Brian Spilner said: Bila shaka hujambo Click to expand... Nipo poa vipi wewe
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,417 Feb 9, 2022 #146,095
geraldincredible JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 2,035 Reaction score 7,227 Feb 9, 2022 #146,096 Tinsley said: Nipo poa vipi wewe Click to expand... mkuu na mimi usiache kunitag...ukiweka picha
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Feb 9, 2022 #146,097 geraldincredible said: mkuu na mimi usiache kunitag...ukiweka picha Click to expand... Haya nikiweka picha itakaa muda mrefu next time .
geraldincredible said: mkuu na mimi usiache kunitag...ukiweka picha Click to expand... Haya nikiweka picha itakaa muda mrefu next time .
geraldincredible JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 2,035 Reaction score 7,227 Feb 9, 2022 #146,098 Tinsley said: Haya nikiweka picha itakaa muda mrefu next time . Click to expand... nikiiona mimi unaweza ukaitoa.....
Tinsley said: Haya nikiweka picha itakaa muda mrefu next time . Click to expand... nikiiona mimi unaweza ukaitoa.....
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,034 Reaction score 6,038 Feb 9, 2022 #146,099 Tinsley said: Nipo poa vipi wewe Click to expand... Mimi pia nipo poa. Nafurah kusikia uko vyema.
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Feb 9, 2022 #146,100 geraldincredible said: nikiiona mimi unaweza ukaitoa..... Click to expand... Haha sawa Mkuu