Selfika na JF: Snap it. Show it

Daah sijui kwa nini hii meme imenichekesha sana daah
Ina ujumbe wa muhimu sana Mama Mchungaji. Wanawake wengi (hasa hawa wa kisasa wanaojiona wamesoma na wanajua kila kitu) wanafeli kwa kuanzisha ligi zisizo na maana na waume zao. Kila kitu ni mashindano mpaka wanaharibu kila kitu. Jirani yangu hapa kambwaga mchumba wake waliyekuwa chanda na pete kwa sababu hiyo.

Wewe kama mshauri likazanie hili kwenye nasaha zako. Mwanaume ni kuhani wa familia. Yeye ndiye kichwa na hilo halitabadilika leo wala kesho. Ni sawa kumchalenji constructively lakini abusive confrontations za kila siku na stubbornness zinaua upendo.

Ubarikiwe Mama Mchungaji
 
Ahsante sana Mtumishi kwa hekima hizi; nitawakumbusha na hawa wenzangu tusije tukavunja ndoa zetu kwa mikono yetu wenyewe. Ubarikiwe sana


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…