Selfika na JF: Snap it. Show it

Nawajua sana wanaume wa Kisukuma hasa hawa wa rika langu (40+). Tulilelewa katika mfumo dume 100% huku tukifundishwa kuwa ubabe na kuwa na wanawake wengi ndiyo uanaume hasa. Ukikuta wa enzi hizo ambaye hana exposure kidogo halafu awe na vihela hela hivi nakwambia ni tatizo tena pevu. Japo anaweza kuwa na upendo wa kweli kwa mke na familia yake lakini huko nje pia ni lazima atembeze mkong'oto tena kwa uwazi na bila kujificha ficha eti ndo uanaume! Bagosha!

Unafanya vyema kuwaachia hao wanangu wajue desturi zao na ukoo wa baba. Ūlīnkīma wa masala ntūngīlīja (U mwanamke mwadilifu mwenye akili) !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…