Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,553
- 235,329
Mama sipitwi katika ubora wako.Nkamu nimeghairi hadi kuoga nisije nikapitwa; na ninatakiwa kanisani kwenye ibada ya ndoa. Fanya tu kajambo nikajimwagie fasta jamani
Ukinikomesha mimi basi umemkomesha shemeji yako[emoji3]NITAKUKOMESHA
Mama sipitwi katika ubora wako.
Wewe ulivyo mchoyo zako sasa[emoji3]
Ukinikomesha mimi basi umemkomesha shemeji yako[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe huyo leo?
Nkamu nimeghairi hadi kuoga nisije nikapitwa; na ninatakiwa kanisani kwenye ibada ya ndoa. Fanya tu kajambo nikajimwagie fasta jamani
Kabla hatujaenda mbali,niikute kwanza pm mweee[emoji847]
Zangu nitapanda tu juu na kukutag
Huko PM uone peke yako? [emoji57][emoji57][emoji57]
sawa nitapost baadae kidogo hapa kamtandao kanasumbua[emoji3]
Nkamu si ntakuwa ibadani jamani. Au utanihifadhia PM basi, puliiizi
Umeona sasa [emoji23]Nkamu si ntakuwa ibadani jamani. Au utanihifadhia PM basi, puliiizi
Naomba niikute pm nkamujuu wapi mbona sijaona
nkamu naomba nikutumie PM[emoji23][emoji23]
Umeona sasa [emoji23]
Kumbe na wewe unaitaka pm[emoji1787]
Eeeh!???[emoji134]Haihuuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sitokuwepo sasa. Kwendraaa
Akupe yake sasankamu naomba nikutumie PM[emoji23][emoji23]
Akupe yake sasa