Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,377
Tutakutembelea hapo church nikiwa na baba mtumishi.
Shemeji yako naona damu zenu zimeendana.
mama malezi nini tena?
Vipi u hali gani?
Tupangie siku ya kujaNjoeni njoeni; can't wait
Mmewamiss balaa!wazima nyote@mahondaw mshepu@heaven sent mnyamwezi@St.Anna kaslim@Lizzy mzungu@Chakoriii@Karma mnyaki@Binamu simara@Syb@cocastic@relief na wengineo weengii humu
I Love You, LordKuna yule aliyenipenda
Si kwa ajili ya mali
Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu
Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine
Huyu halali wala hasizinzii
Hata leo hajawai kunichoka eeeh
Sikutafuta ni yeye alikuja kwangu
Ingawaje dhambi makosa yangu
Yesu alinipenda wa kwanza
Nikamwamini yeye kanisamehe dhambi
Upendo wake Yesu yeye wanishangaza
Yesu huyu Yesu rafiki mwema
Yesu huyu Yesu ninakupenda
Yesu huyu Yesu rafiki mwema
Yesu huyu Yesu ninakupenda
Kichwa hiki hiki kinachofanana na friji?Kichwa chako
Tupangie siku ya kuja
Hiyo tutakuwa busy sanaπMje kwenye Valentine's basi
Hebu tupia kidogo basi...nipo na friji hapa,nataka nilinganishe.Kichwa hiki hiki kinachofanana na friji?
Daaaamn nadhan ilikuwa poa kinoma yaanFor first time in years, I'm enjoying convo in public transport. Kuna Jamaa ameweka ligi na kina mama hapa kwenye gari kuhusu wanawake kutotimiza majukumu yao na kusababisha wababa kupita na wafanyakazi.It's very interesting and people are actually enjoying the time of their life. Been long since I witnessed abiria kuengage kwenye maongezi kama haya
ππππFor first time in years, I'm enjoying convo in public transport. Kuna Jamaa ameweka ligi na kina mama hapa kwenye gari kuhusu wanawake kutotimiza majukumu yao na kusababisha wababa kupita na wafanyakazi.It's very interesting and people are actually enjoying the time of their life. Been long since I witnessed abiria kuengage kwenye maongezi kama haya
I'm amazed by all you doI Love You, Lord
I Worship You, I Adore You
You are my God
My Help, my Shield
My Father and my Friend
I Love You, Lord
I Worship You, I Adore You
You are my God
My Help, my Shield
My Father and my Friend
View attachment 2098431
I worship You
O merciful
Compassionate
God of all the earth
Amazing love
Amazing grace
I bow to You
View attachment 2098435
Busy kutafuta helaπJizazi
Kaka ake Anne, are you there?
ππI'm amazed by all you do
I'm amazed you came through for me
Even in my darkness moments
Baba you lit up my world
I'm amazed by how you care
I'm amazed you're so full of love
You've been good from distant past
And yet you're still doing good
Obinigwe
Obinigwe
Obinigwe
Two-four, seven day every day you come
You come through for me
I had no essence, had no meaning Lord
You showed up for me
What did I do to deserve this kind of love
What did I do to sit at your right hand?
What did I do to deserve this kind of love
Pep kipara ngoso atosha ππSiku hizi sitagiwi
SitakiπPep kipara ngoso atosha ππ