Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli JF imejaa mafisi yenye njaa... Hivi ni vidole tu lakini nyoka wamechomoka kila upande... Vidole tuu[emoji298][emoji298][emoji298][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha mafisi hawachagui chakula[emoji23][emoji23][emoji23]
 
My feet is my car (Tz 11) they can take me wherever I want to go! Mjini hapa nikimuona mtu ana gari namheshimu hata ikiwa iST/Vitz [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Hizo iST/Vitz ni bajaj? Wa-Tz ujeuri,ushamba,kiburi vimetuzidi. Namuomba mheshimiwa aongeze tena kukaza nut mpaka hizi gari zitolewe kwenye mifano ya kipuuuzi ya chini,mpaka ziitwe v8 ndio alegeze
 
Hizo iST/Vitz ni bajaj? Wa-Tz ujeuri,ushamba,kiburi vimetuzidi. Namuomba mheshimiwa aongeze tena kukaza nut mpaka hizi gari zitolewe kwenye mifano ya kipuuuzi ya chini,mpaka ziitwe v8 ndio alegeze
Naona umeandika kwa hisia sana, pole sana kama imekugusa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…