Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,469
- 95,994
hahahaha.ushanitupa dahUsha hitimishia umampasia mtu chake sio!!? Hapanaaaaπ€£π€£π€£π€£πππ!
ewaaa mta enjoy nawatamaniaSlow music ama nene! Hizo strawberry tunalishana kwa mdomo bana unaniangusha ππ!
ondoa neno hapana ππUsha hitimishia umampasia mtu chake sio!!? Hapanaaaaπ€£π€£π€£π€£πππ!
anazingua tu, kazama tayari.. umejaa uvunguni wa moyo wake..hahahaha.ushanitupa dah
Unaona mapenzi yalivyo matamu rafiki , hebu jiachie [emoji2096].ewaaa mta enjoy nawatamania
ππππ Matamu eeh.. msinidanganye mieUnaona mapenzi yalivyo matamu rafiki , hebu jiachie [emoji2096].
Wamenogaaa..ila hiko kimini sasa huko anakoenda mbona balaaa! Hiko kingefaa wakiwa hom wawili!!! Weee Mtu chake hapana! ππ³
si hapo mnatoka na mtu chake mlo wa jioni bwana.. usiniangusheHaha....
Wamenogaaa..ila hiko kimini sasa huko anakoenda mbona balaaa! Hiko kingefaa wakiwa hom wawili!!
Ndio matamu π , utasahau stress .ππππ Matamu eeh.. msinidanganye mie
Hapana hapanaa! Mtu chake ana mambo mengi simuweziiiii!ondoa neno hapana ππ
πππ mie sinaga stress mbona rafiki.. rafiki upo wapi kwanza ππNdio matamu π , utasahau stress .
acha bwanaa.. ππππHapana hapanaa! Mtu chake ana mambo mengi simuweziiiii!
Yeeeeh,,, ni ngumu kiasi but it's coolHiki ni kirusi eh ?
Naona kama ni lugha ngumu kujifunza .
Kama hauna stress sawa ... Hapa utanishinda na hoja zako nikuache ππππ mie sinaga stress mbona rafiki.. rafiki upo wapi kwanza ππ
πππππππππππππ