Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi na HS, na pisi na Kipara 9.8 tutaingia magotini juu ya hili.

Hili halina ubishi...maana atakua amepata pisi, mwana, mshikaji, na wakati huo huo mke.
yaah! mkikogambana kama wapenzi, mnashift washkaji, kidogo mnakuwa wana.. kidogo mke yani nyumna mda wote inakuwa ya motooo.. sema utoto unaniponza nimekosa 😬😬😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…