Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee mimi dada yako hivo sikufai kamwe unapigaje mechi na dada!! Laana hizo ! Wewe wanaokufaa kina cocastic kina mtakatifu kina dipa [emoji144][emoji15]
Huyu mdogo wako kachanganyikiwa, wa kuwa mashemeji zake tupo then anakutaka mwenyewe!! [emoji15][emoji15][emoji15]
Mpe laana!!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ kwaiyo vijana kwa vijana na wazee kwa wazeee asaleeeeee.... safiii kabisa, hii inapendeza wazeee kama zarithebosslady wapo... mzee ila mbichi kuliko binti πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
🀣🀣🀣🀭🀭🀭🀭! Unatakiwa uinjoi bana especially ukikutana na ambavyo havijawa na mambo mengi
 
πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’.. mmefika tayari kunipa laana nilikuwa natingisha tu kiberiti kumbe njiti hakuna
 
Hapana hajanitaka mimi sema ameongelea majaribio ili Kuni prove wrong point yangu hahahaha!🀣🀣🀣!
 
[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19].. mmefika tayari kunipa laana nilikuwa natingisha tu kiberiti kumbe njiti hakuna
Chief unakosea wapi? [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Siku hizi hatutingishi viberiti, tunashika viuno kuona kama yaliyomo yamo!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hapana hajanitaka mimi sema ameongelea majaribio ili Kuni prove wrong point yangu hahahaha![emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Nilifikiri atanataka kuziba gap la mashemeji zake [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
😬😬😬😬 hii mbinu unaweza zabuliwa makofi ya kichwaaa
 
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51] hii mbinu unaweza zabuliwa makofi ya kichwaaa
Hapana! Akikusogelea karibu unafanya kama unatelezesha mkono! Ukiwa unaurudisha mkono ndio kama unashika kibahati mbaya, ukiona kimya hapo ndio unazungusha zungusha mkono kiunoni na kuuacha utalii kuzunguka! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…