Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Hazinihusu kivipi wakati huyo ni babe wangu
π€£π€£π€£π€£π€£Utajua haujui
SalimiaKn watu nimewamiss humu.naomba niwasalimie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamuonaje lakini shem wako?
Umempenda eeh??Dj mlete shem pep
@financial services Habari yako mdogo wangu. Hope Mbeya iliinjoi uwepo wako.
Umempenda eeh??
NaamWigeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saint Anne na mamaaaaa pastaaaaa Heaven Sent
View attachment 2094452
.. ofaaa chagueni moja moja mnipe lipa namba nilipe
[emoji1787][emoji1787]Sanaaa. Yaani mahari tunatoa sisi kama wahindi
Ingineee hiii.. πππ namtafutia nguo mdogo wangu jamanii βΊοΈβΊοΈβΊοΈ.. ofaa inaweza kukuangukia na wewe.. hapa tusimnyime mahondaw na Chakorii nao wachague mmoja mzigo unashuka soonThursday all the way
Umetisha sana kaka Anne. Lipa namba inakuja
chaguo moja hapoo.. utume lipa nambaa πππππ ofer mwisho saa nne na dk, β9.8ms squared unashangaa sana
Hakika nilienjoy pia, hali ya hewa nzuri + kimvua mvua basi usingizi mwanana. Mimi mzima habari yako pia ndugu yangu?@financial services Habari yako mdogo wangu. Hope Mbeya iliinjoi uwepo wako.
Halafu mtu asiyejielewa anakwambia "acha kula nyama, wanyama nao Wana haki ya kuishi bla bla bla bla kula majani na matunda tu" daaah!Time to dig inView attachment 2094374
Chagua moja hapa wewe na mahondaw9.8ms squared unashangaa sana