kwa wale wanaolijua vizuri jiji la mwanza washajua hii ni view toka kiwanja gani.
hii ni jana mida ya alasiri.
unaweza kutaja jina la kimiminika kinachoonekana kwenye glass?. ukipatia nakuunga kwenye bandle la 2GB la mtandao wowote wa simu unaotumia katika data hapa tanzania.
View attachment 1227989