Selfika na JF: Snap it. Show it

Hio shwaaaa shwaaaa shwaaaa kwioo
! Hahaha... Utaua mtoto wa watu wewe !!
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† siku hiyo atanisamehe aseee.. kwanza tunatoka tunaenda mbaaali kabisa huko mbugani.. ili kusiwe na mambo ya kuleta sababu za na kwenda kwa mamaa kumuona, inapigwa mbungi ya hatariii hata moshi utoke
 
siku hiyo atanisamehe aseee.. kwanza tunatoka tunaenda mbaaali kabisa huko mbugani.. ili kusiwe na mambo ya kuleta sababu za na kwenda kwa mamaa kumuona, inapigwa mbungi ya hatariii hata moshi utoke
Acha mazingira yaamue yenyewe mnapopanga na kuwa na too much expectations mwishowe mtaharibu..nature will play its role!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…