Baada ya bi mkubwa kunipa hii picha Jana,nikajifunza kuna umuhimu mkubwa sn Kwa a kuwa na archives Kwa ajili ya kumbukumbu za watoto wetu,Jana nilifurahi sn baada ya kuiona hii picha.. Imagine Leo Nina familia alafu naiona picha enzi nikiwa na miezi 5 Tu miaka hiyo late 80s
Muambie huyo.. sinaga ule usomaji wa biblia wa kuchora chora kuweka alama, sijawai kufanya hivyo toka utotoni mwangu, biblia zangu utazikuta mpyaaa haina hata nukta ya kalamu.. wala wino..