Selfika na JF: Snap it. Show it

Biblia yako nimeipenda nzurii, safii, ila ni dalili ya kutotumika mara kwa mara
Nasoma sana biblia, iisipokuwa huwa siweki alama yoyote wala kuandika chochote, kwasababu huwa mda wowote huwa nagawa biblia zangu.. pale ambapo naona mahala kuna uhitaji.. hapo imelala from mwazno to ufunuo nakuwaga narudia rudia tu ☺️☺️
 
Wacha wee

Mimi siwezi kugawa Bible Yangu...heri nimnunulie mtu Bible mpya ila siyo kumpa ile Biblia yangu niliyoichafua kila sehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…