Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Huko Sinai ni kutakatifu mno..Ni kwa Musa kupokelea zile amri za Muumba.Eeh aje kwa chalii ya Mlima Sinai
Mimi ,wewe na Chakorii🤗Yetu na nani?
☺️☺️☺️ haya ndio maneno sasaaa.. asitupunguzie speed kwenye mahaba yetu.. nimebahatika bado anataka kunichania mkekaAnaleta wivu kwa braza😅 aje kwangu nimpe muongozo mle pilau mwezi wa 6! Nina stock ya kutosha
Wifi gani ananikosesha haki zangu kwa kaka😔Msipopambana; ndoa itawashinda kisa gubu la dada wa mume
Wifi gani ananikosesha haki zangu kwa kaka[emoji17]
Mungu ni mwaminifuI hope so my dear
Thank u so much madam lizzyHappiest birthday to you 🥳
Haha.. jana sijatupia rafiki utakua umepitwa na za wengine rafiki!rafiki nimepitwa na nn?
Hahahaha kila mtu ajipimie bana msishikane mikono☺️☺️☺️ haya ndio maneno sasaaa.. asitupunguzie speed kwenye mahaba yetu.. nimebahatika bado anataka kunichania mkeka
Haki zangu kutoka kwa kaka zipo palepale😒Tafuta mume wako, ukapate haki zako huko
Hahahaha ndio panapopatikana muongozo huko Galilaya nendeni na wajuba kina Job Ndugai😅Huko Sinai ni kutakatifu mno..Ni kwa Musa kupokelea zile amri za Muumba.
Hukuhuku Galatia ndio bomba.
sasa hv mnafaidi wote?Kipindi hicho nikitizama videos kama hiz nilikua naona wakubwa wanafaidi 😄😄😄😄
🙃🙃💃💃💃💃Kwa mzigo uliobeba, ukisema umechoka nakubali! Hebu irudie tena ile ya juzi [emoji39][emoji39][emoji39]
Ewaaaa... irudiwe rudiweee hiii 😊😊Tafuta mume wako, ukapate haki zako huko
Nini??Ewaaaa... irudiwe rudiweee hiii [emoji4][emoji4]
Galilaya na viunga vyake vyote,,Hahahaha ndio panapopatikana muongozo huko Galilaya nendeni na wajuba kina Job Ndugai[emoji28]
Irudiwe rudiwe msisitizo 😊😊Nini??
KwendaaIrudiwe rudiwe msisitizo [emoji4][emoji4]