Ohoooo yeuyeeee..in a very serious way 9.8ms squared hii video clip imeutingisha ubongo wangu kinouma..
awwwwww β€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈ.. raha jamani nakupa dunia yote na vilivyomoo
sawaaaaaaaaaaah .Weka avatar ya kijana, hiyo inaogopesha afu unaonekan km mtu mkubwa, kumbe yankiiii, utapishana na zali la mentari oooooh we haya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii kapo inaonesha wanapendana mno..Mungu awatunze kwakweli
Asante Mkuu, ila nilifika nyumbani kwenu nimeambiwa una muda mrefu haujarudi πKaribu tena mkuu [emoji4][emoji4]
Sawa shem darling...[emoji4]Great....
Usiwe unapotea sana shem.saw
Usinipe Gunia la misumari tu πawwwwww β€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈ.. raha jamani nakupa dunia yote na vilivyomoo
π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°
[emoji1787][emoji1787]Hapo kwenye kuwafunga Yanga mnanifurahisha. Ili kufanikisha ushindi wenu Kwa Yanga naomba niwasapoti Kwa kujitolea Chakula Cha siku Moja Kwa Wachezaji na Benchi la ufundi.
Najua Msosi Kwa Wachezaji 25+Benchi la ufundi 12 =37
Chakula Kwa Mamantilie ni Buku Jero
37x1,500=55,500/-
Yanga vizuri naye afungwe kama Sisi ili kubalance equilibrium [emoji123]
Nimeyaona sehemu yananukiaπππmaji moto yatoka wapi tena jamaniii
Mkewe mtarajiwaππBaby ake pep
WanasemaUmewalisha wenzio matango pori ujue!!
[emoji1787][emoji1787]Kuna mtu katabasamu huko hadi mashavu yameuma
Nitakuletea ujimkuu sitaki kumwagiwa maji ya moto
Umeamua kunipeleka india nikale dengu na pilipili sasa
Gunia la misumari hapanaaaa πππUsinipe Gunia la misumari tu π
Naona unachochea motoππsafiππΏNitakuletea uji
Pale
Burn Unit[emoji2089][emoji2089]
Fanya chapNakuwekea bodyguard
Ohoo[emoji1787]Baby ake pep