Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
[emoji3526][emoji3526][emoji3526] Unapenda na helaaa.. pesa nayo ni mpenzi mzuri tuuu [emoji23][emoji23]
Huwa unapaka mwenyewe home au hupaki rangi kabisa?Mimi bwana naona ashki ziko kwa unyayoo!![emoji1][emoji1]siwezii!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
πππππTobaaaπ
Asante hisabati za kudivide..zimetuchinjia baharini kutoka moja tumebaki nusu
Huwezi kosa vyote aseee πππUnatuzungumziaje ambao hatuna vyoteπ
Hii umenimalizaaa kabisaaa, nimenijihisi kama niko mbinguni ya saba πππ.. nimehisi ile. inner joy + peace.. sante πππ
Huwezi kosa vyote aseee [emoji849][emoji849][emoji849]
Nini mbona mgunooo πππ.. alafu mapori mengi, madimbwi ya maji mito etc.. mikeka mnakwenda po hata huko tu mna relux ππMmmmmmh
Nini mbona mgunooo [emoji4][emoji4][emoji4].. alafu mapori mengi, madimbwi ya maji mito etc.. mikeka mnakwenda po hata huko tu mna relux [emoji23][emoji23]
ππππ kipindi huu wimbo upo on fire dah! acha tuAah ndani ya medula, yeye ndiyo queen
Na kweli kile ulichonacho kinaweza fanya jambo.. hata musa alikuwa na fimbo tu ππππ..Nimeguna ya kwamba "huwezi kosa vyote".
Umesema[emoji848]Unatuzungumziaje ambao hatuna vyote[emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji19]
Mimi ni nani[emoji7][emoji7][emoji7] acha nibebike mie...
πππ japo paka sasa sijachana mkekaaa aseeeMimi ni nani
Hata nikubishie
@reymage [emoji848]Huwa unapaka mwenyewe home au hupaki rangi kabisa?
Hongera[emoji23][emoji23][emoji23] japo paka sasa sijachana mkekaaa aseee