Dawa yako inachemka..unatuangaisha sana vichwa vyetuMmemuona shemeji yenu lakini🤣
Mwambie afanye chapu basi.shughuli za kufanya ni nyingiSaint Anne mwoneshe dadako picha ya shemeji ake.....m cc ile post, hajaona
Muoneshe kweli ile post kama upo kwenye app.Anhaa🤣🤣🤣
Nilitaka nimuonyeshe kweli🙈
Tulia weweAshaipata kitambo🙈,basi tu😝
Si ndiooMwambie afanye chapu basi.shughuli za kufanya ni nyingi
Nyie watu mnanivura mjueMuoneshe kweli ile post kama upo kwenye app.
Bado sijafuta as promised...
Nipo kwenye browser, ni changamoto ku scroll 🙂
Kama ni ile ya sisiemu siitakiSi ndioo
Ataku cc, soon!
Au na yeye ha support ninachokifanyaAshaipata kitambo🙈,basi tu😝
Ukashindwa nini sasaAnhaa🤣🤣🤣
Nilitaka nimuonyeshe kweli🙈
Haya nakumwagia maji.waaaaa.....amka😂😂😂 kumbe ndoto naota, ebu nimwagie maji nitoke kwenye huu muoto
Tuvumiliane tu shem wangu wa nguvu.Kama ni ile ya sisiemu siitaki
Mvumilio accepted.Tuvumiliane tu shem wangu wa nguvu.
Hapo ndipo napatia mkate wangu
🤗🤗 nisije chana mkekaaaHaya nakumwagia maji.waaaaa.....amka
🤣🤣🤣🤣AkiyananiTuvumiliane tu shem wangu wa nguvu.
Hapo ndipo napatia mkate wangu
Kuweka bodyguard tu ndo unaona nakula sana?Unakula sana
Si kwamba haupati kwenye maeneo yako,,unapata!😀
Pep sema suuuUkashindwa nini sasa
Kamba imekatika mbona😁Kuweka bodyguard tu ndo unaona nakula sana?
Bora uchanike ukiwa mkavu.kuliko uchanike halafu unywshewe na mvua😀😀hatari sheikh🤗🤗 nisije chana mkekaaa