Kwa kweli Fanya hitimisho hilooo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1] mbili tofauti mmetuma hapaNgoja tu nihitimishe kuwa picha mimi hazinihusu[emoji1787][emoji1787]
Yaani we acha tu
Kumbe wewe ni love wa mtu???Sijambo love mzima?
Wacha kujishusha bhanaaaa
Mimi nimefurahi😂😂😂😂😂😂Daah inasikitisha sana [emoji1][emoji1]
[emoji16][emoji16] basi tena kwa huyo tununu sipati kitu
Kindly received but only her,unless I won't forgive you!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16] I hope hili swali na jibu lake haliathiri huo muamala wetuKumbe wewe ni love wa mtu???
Eeh!si ndo tunaambiwaga hvyoo![emoji2][emoji2]tuna sura mbovu wadada wa jf woteee basi ndo sisi sura za babaBinamu hiyo ndiyo sura ya wife material au unatutania wanyaki na sura za uncle zetu?
Hii nilikuwa silewi kabisa hata ninywe dazeni mbili.Mtu mzima huo sio mkojo Bali ni kinywaji
Sasa nini??? Hahahaahahahahaah[emoji23][emoji23][emoji23]
Tunashukuru dada sisi somo la upendo kwenye maandiko ndiyo lilituingia zaidi [emoji120][emoji120]MNA upendo sanaa kiukweli yaani nyie watu!ukiwa na shosti wa kinyaki hujinyongi!!![emoji7]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Yaani nimefurahi mno[emoji1787]
Kwa Leo inatosha wazee sisi kuanika sura zetu humuu!!ngoja tujenge nchii!!![emoji8][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]barikiwa nawe kipenzi
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787] mwenyeweShwain zako
Kaiotea na amesevu pia sasa hivi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Najua tu HS amepitwa tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asilan abadan. Mimi na wewe tenaa[emoji16][emoji16] I hope hili swali na jibu lake haliathiri huo muamala wetu
Daah inasikitisha sana [emoji1][emoji1]
Good
Kwahiyo ile nyengine basi tena maana ushabarikiwa