Banned [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!Nilikuwa sijui kama kuna kitufe cha dislike kwa sababu huwa situmii browser. Siku moja nikaingia huko nikakuta kuna jamaa kanitandika za kutosha tu halafu sasa ni kule kwenye memes uzi wa vituko. Nilishangaa kidogo kwa sababu kile ni kijiwe cha kucheka tu na kufurahi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2081621
🤣🤣🤣🤣Nilikuwa sijui kama kuna kitufe cha dislike kwa sababu huwa situmii browser. Siku moja nikaingia huko nikakuta OKW BOBAN SUNZU kanitandika dislike za kutosha tu halafu sasa ni kule kwenye memes uzi wa vituko. Nilishangaa kidogo kwa sababu kile ni kijiwe cha kucheka tu na kufurahi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2081621
hata mimi na wewe tulipoanza ulikua unaniita kaka,eventually nimekua babe🙃Kaka yangu🤗
Una raha weweee 😁😁😁.. Enjoy aseeeNimehamia hapa! Soon nasinzia [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]!View attachment 2081619
🤣🤣🤣🤣🤣Mimi sina neno[emoji23][emoji23]
Babe tayari ninaye🤣🤣🤣hata mimi na wewe tulipoanza ulikua unaniita kaka,eventually nimekua babe🙃
Goodnight Boss Lady [emoji1545]Nimehamia hapa! Soon nasinzia [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]!View attachment 2081619
Shukrani mkuu nawe pia ukuwe na usiku mwema na ndoto njema!Goodnight Boss Lady [emoji1545]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii familia ya kitumishi
hata mimi na wewe tulipoanza ulikua unaniita kaka,eventually nimekua babe[emoji854]
Anataka kuniharibia huyu kwa baba mtumishi na kaka yangu🤣🤣Wee kumbe?
Anataka kuniharibia huyu kwa baba mtumishi na kaka yangu[emoji1787][emoji1787]
Mida hii humu ndani mambo yanakua [emoji91][emoji91][emoji91]Anataka kuniharibia huyu kwa baba mtumishi na kaka yangu[emoji1787][emoji1787]
Watu wabaya😁Heheheheeheheh
Chapombeee😇Mida hii humu ndani mambo yanakua [emoji91][emoji91][emoji91]
Watu wabaya[emoji16]
chuma changu hikoo,kitambo tu😅Wee kumbe?
chuma changu hikoo,kitambo tu[emoji28]
wahenga walisema mshika mbili moja humponyoka,mi nilishika kama tano hivi so akaniponyoka huyo mrembo wakati niko busy na wengineIkawaje sasa?