Selfika na JF: Snap it. Show it

inaitwa double impact
Mchana sitaki kuamini kuwa billionaire mo alivyopotea hukuwa na hii dawa. Waliweka na dau la 1b, kwa nini hukuleta hii dawa? Ina maana hukutaka ile pesa?

Hii dawa, umeitowa wapi? Mtu anaanza kuonesha kucha, unaongeza dozi, anaonesha nguu wote, unaongeza dozi, paja lote, unakoleza anaonesha tumbo, sasa sura Nazo ziko wazi kweli mshana?
Mchana hujachelewa si utuletee waliotaka kumuua lisu, maana hata camera hazikuona, serikali kila siku inapambana na wasiojulikana, wanafanya maafa upo kimya wakati wewe upo?

Kirahisi dawa zako zikafanya kazi Jf? Mungu utamwambia nini kuacha 1b ya Mo ikaenda kirahisi vile? Ukoo wako ukawanyima bata kisa kuficha wasiojulikana wakati dawa unayo?😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
😂😂😂😂unamtishia nani??
 
Tulia wahuni watafute wanawake wa kuoa hapa
 
Ile billion haikuwa safi... Ilikuwa imechafuka na ilizingirwa na michezo michafu... Kumbuka hata kwenye uchawi kuna usafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…