Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Picha yake siweki ππππPicha ndio itaeleza kwa ufasaha zaidi [emoji1787]
Na kweli sio vibaya, then tumsifie na sisi bwana sio anamsifia yeye tu[emoji1787]Tuone alivyojaliwa
Hakika si vibaya
Shinikizo likizidi utaweka[emoji1787]Picha yake siweki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Eeh atatuma picha kweli sidhaniNa kweli sio vibaya, then tumsifie na sisi bwana sio anamsifia yeye tu[emoji1787]
Tuendelee kutumia diplomasia akikataa atake asitake atatuma!Eeh atatuma picha kweli sidhani
Ukiona kitu inaleta maana zaidi .
mmekazaaa eeeh πππTuendelee kutumia diplomasia akikataa atake asitake atatuma!
Sidhani ..Tuendelee kutumia diplomasia akikataa atake asitake atatuma!
Nimewawekea naona mmelala ππ
Argh kuweka kwa kuvizia ndio nini sasa! Hata sijaona tena [emoji124]Nimewawekea naona mmelala [emoji849][emoji849]
Nikiwa bafuni ππUnachat ukiwa wapi!???? - kwenye kochiView attachment 2078793
mmechelewaaaa πππArgh kuweka kwa kuvizia ndio nini sasa! Hata sijaona tena [emoji124]
Boss lady mwenyewe huyo dah!Unachat ukiwa wapi!???? - kwenye kochiView attachment 2078793
Wanaume huwa hatufuti picha (haraka haraka) mkuu. Hiyo tabia waachie mabinti! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nimewawekea naona mmelala [emoji849][emoji849]
Msukuma umeambukizwa upambe eehh!!!???π€£π€£Boss lady mwenyewe huyo dah!
Rangi ya mtume hiyo. Shepu ya Kibantu. Ngozi lainiii mithili ya hariri. Msukuma hapo hata ng'ombe 75 unapigwa na unazitoa kwa moyo safii [emoji91][emoji91][emoji91]
Aarghh nimechoka kuomba tena!mmechelewaaaa πππ
Siyo upambe...Huo ndo ukweli wenyewe. Mwanaume wa Kisukuma kwako hachomoi hata iweje! [emoji16][emoji16][emoji16]Msukuma umeambukizwa upambe eehh!!!???[emoji1787][emoji1787]
Hahahaha... Sikuwezi SYB! Kwa kuchochea tuuu aaaahh!!Siyo upambe...Huo ndo ukweli wenyewe. Mwanaume wa Kisukuma kwako hachomoi hata iweje! [emoji16][emoji16][emoji16]