Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,245
- 90,421
rafiki rangi ya mtume hy ujue. acha nikae kimya rafiki🤣🤣🤣🤣🤣! Rafiki una manenoo!!🙌
rafiki rangi ya mtume hy ujue. acha nikae kimya rafiki🤣🤣🤣🤣🤣! Rafiki una manenoo!!🙌
Usiku utupie selfie bana !rafiki rangi ya mtume hy ujue. acha nikae kimya rafiki
Nipooo wangu, mahangaiko tu ya dunia.Kabisa yani mamy! Za masiku wee mwanamke! Umepotelea wapi lakini!!
Kifua hicho nikilaza hapo komwe langu ni burudani toshaa...haijalishi hali ya hewa rafikiiHahaha.. asubuhi yote najua hili rafiki??
Sawa shemLeo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa mdogo wangu wa kunifuata,,,,mida kidogo nitupie kapicha ka dogo
![]()

tusubiri muda ufike rafiki ,ucwaze,imeisha hyUsiku utupie selfie bana !
Naona..imeisha mazima hiitusubiri muda ufike rafiki ,ucwaze,imeisha hy
hahahahahaNaona..imeisha mazima hii
Mrefu mwembamba!
Kifua hicho nikilaza hapo komwe langu ni burudani toshaa...haijalishi hali ya hewa rafikii














!yeah flexibility imezingatiwa nyama zinahitajika upande wa pili kubalance equation..Mrefu mwembamba!
utavunja mguu rafiki
Hahaha .... Na uzee huu nikiteguka kuja kupona sio leo!utavunja mguu rafiki
Ufike salama ndugu yangu.Mbeya - Dom - mwanza - bukoba View attachment 2077868
Hahaha... kabisa Aisee!yeah flexibility imezingatiwa nyama zinahitajika upande wa pili kubalance equation..
✋
haya malizia kula matunda sasa..Hahaha... kabisa Aisee!
najitolea kukuuguzaHahaha .... Na uzee huu nikiteguka kuja kupona sio leo!
Sawa mkuu!haya malizia kula matunda sasa..
Aiseeehhh japo hatuombei ila ntashukuru sana!najitolea kukuuguza
Thanks bossUfike salama ndugu yangu.