Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndiyo mfanye sasa mkutane mahali fulani kuomba; msisahau na kufanya duet ya worship moja amazing [emoji188][emoji188][emoji188]
πŸ™„πŸ™„πŸ™„ sijuagi kuomba na mtu.. sehemu kubwa ya maombi yangu ni silence prayer.. na maombi ya meditation.. na kuhitaji utulivuuu tuuu.. kukiwa na combinega naweza anzisha story tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Taratibu ndiyo mwendo. Sasa hivi si unaona unaflow tu?[emoji38][emoji38][emoji38]
Naflow wapiπŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
Sema tu naishukuru ile shule,tulianza form 1 na Bible knowledge ni lazima,upende usipende.
Hapo wenzangu na mimi wa shule za vidumu na mfagio tulipoteana sana..kiingereza cha kawaida chenga,,tunapigwa tena na cha BibliaπŸ˜‚πŸ™ŒπŸ˜‚πŸ™Œ
 
Mnakwenda tu mahali penu, then mkifika kila mtu anaendelea na style yake ya kuomba. Sio lazima muwe na muongozo wa kuomba. Au ukimuona jirani yako pembeni inakupunguzia concentration? [emoji19][emoji19]
[emoji849][emoji849][emoji849] sijuagi kuomba na mtu.. sehemu kubwa ya maombi yangu ni silence prayer.. na maombi ya meditation.. na kuhitaji utulivuuu tuuu.. kukiwa na combinega naweza anzisha story tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaa em tuacheni wa vidumu na mifagio khaa. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…