Humu unaweza kuitwa mgumba kumbe una watoto wa kutosha tena wenye afya zao.
Unaweza kuitwa single mother kumbe una mume na anakupenda na anakujali.
Unaweza kuitwa mal. aya unajiuza nk.. Kumbe una maisha mazuri tuu ambao hao wanaokuita kwao ni maisha ya ndoto zao.
Unaweza kuitwa jobless kumbe una ajira tena ya kudumu ambayo kuiacha ni siku ya kustaafu.
Kifupi huku ndivyo tulivyo baadhi yetu
.