Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
πππ kama upepo.. kaaribu sana tu change locationHaha eti ujiibe.. kama umeshiba vizuri!! Najua weekend hii ni kubadili location tu!! Tunasubiri updates humu
anafaidi ππHahaha... Nampokea vizuri sana!!
πππ kama upepo.. kaaribu sana tu change location
[emoji1732][emoji1732][emoji1732]! Haha kama wewe unavofaudu [emoji1787][emoji12]anafaidi [emoji39][emoji39]
πππ Safi kabisa.. nitakununulia chamdor, hii itakufaaaMimi utaninunulia nini make sinywi pombe kabisa!
Ndio nini hiki??π³π³π³π³πππ Safi kabisa.. nitakununulia chamdor, hii itakufaaa
Mie hamna ninachofaidi.. nipo tu, natamani ningekuwa yeye πππππ ningekuwa nacheza cheza tu mitaa ya home π¬π¬π¬[emoji1732][emoji1732][emoji1732]! Haha kama wewe unavofaudu [emoji1787][emoji12]
ni champagne.. nzuri kabisa kwa ambao hatupigia alcoholNdio nini hiki??π³π³π³π³
Leo wengi mnaenda huko kuna nini aseee.. kuna mtu asubuhi ananiambia anaenda huko, mwingine haijapita robo saa nae kaniambia anaenda huko kunani aseeeMorogoro [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]View attachment 2072090View attachment 2072092
π€£π€£π€£π€£! Ningekufukuza utoke ukatembee asee mwanaume kushinda hom sijui saa 1 upo nyumbani mi hapana!!!!Mie hamna ninachofaidi.. nipo tu, natamani ningekuwa yeye πππππ ningekuwa nacheza cheza tu mitaa ya home π¬π¬π¬
Ahaa kumbe!! Ngoja leo niombe kuletewa hio home niione!ni champagne.. nzuri kabisa kwa ambao hatupigia alcohol
ππππ.. aseee.. sio sawa kabisa.. nyumbani pazuri bwanaa.. unataka mtu awe anarudi saa ngapi kha π³π€£π€£π€£π€£! Ningekufukuza utoke ukatembee asee mwanaume kushinda hom sijui saa 1 upo nyumbani mi hapana!!!!
Ni nzuri, unajipigia mdogo. mdogo safiiiAhaa kumbe!! Ngoja leo niombe kuletewa hio home niione!
Aarghh mwanaume kushinda shinda hom hapana!!! Kurudi Inategemeaππππ.. aseee.. sio sawa kabisa.. nyumbani pazuri bwanaa.. unataka mtu awe anarudi saa ngapi kha π³
Leo Ntaionja nione!Ni nzuri, unajipigia mdogo. mdogo safiii
Morogoro [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]View attachment 2072090View attachment 2072092
aseeee.. navyopenda kushinda home.. na sio home chumbani.. hapo pangekuwa panawakaaa moto sanaaa... nafanyaga setup ya kila aina nisiwe bored ninapo ishi.. alafu uje uniweke kikwazo panawaka liveeee πππAarghh mwanaume kushinda shinda hom hapana!!! Kurudia Inategemea
Safi kabisa.. utanipa mrejeshoLeo Ntaionja nione!
Itakuwa amefika mtamkuta tu πππNkamu umeweka kituo au una safari nyingine? Will be there in half an hour