Moyo ukichoka kulalia chato uamkie mwanza tafadhaliπππ asee nipo kama upepo.. anytime nakuwa mahala flani napo jisikia kuwepo mda huo.. hapa nina mood sana kwenda chato.. moyo wangu umelalia chato.. nitatulia nahisi nikifika hapo
Wow...Ya 06:00 shekilangomimi pia Shabiby.... ya saa ngapi?
Ni furaha yangu shem darlingMi niko poa Shem Darling..
Usiku kesho nitakuwa dodoma, viunga vyetu vilee ππππ.. kesho kutwa nakuwa morogoro alafu narudi paka shinyangaMoyo ukichoka kulalia chato uamkie mwanza tafadhali
Mekumiss ujueMi niko poa Shem Darling..
Nisingekuta ka-avatar kako; ningetoa mijichoView attachment 2070954
Woiiiii sasa ndo nini hivyoUsiku kesho nitakuwa dodoma, viunga vyetu vilee ππππ.. kesho kutwa nakuwa morogoro alafu narudi paka shinyanga
ππππ.. Tunakuja kusherekea na..Woiiiii sasa ndo nini hivyo
Nyie wanadamu ni wachokozi jamaniπ€£π€£ππππ.. Tunakuja kusherekea na..
View attachment 2070963
[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 2070960
[emoji109][emoji109]
[emoji109][emoji109]View attachment 2070985