Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Sioni haya kwa Bwana kwake nitang'araBwana wangu tena Mungu, ndilo lake jina,
Hataacha roho yangu, wala kunikana.
Mti wake sitakana ni Neno imara.
Sioni haya kwa Bwana kwake nitang'araBwana wangu tena Mungu, ndilo lake jina,
Hataacha roho yangu, wala kunikana.
Ameongea kinyume chake.Wakati mwingine anajisahau
Muombee
Hata sijui umuombee nini na kwa nani
![]()
Kunielewa mie hadi upate ufunuo, mtakatifu hutambulikana kwa ufunuo 😊😊😊.. am too much controversial... hakuna mtu wa JF ananijua aseee hata kunielewa mie wa rangi gani 😂😂😂😂Wakati mwingine anajisahau
Muombee
Hata sijui umuombee nini na kwa nani
![]()
Wa kishua huyo haambatani na walala hoiMimi ni nani
Hata nikupinge
Hata nikibishaKunielewa mie hadi upate ufunuo, mtakatifu hutambulikana kwa ufunuo.. am too much controversial... hakuna mtu wa JF ananijua aseee hata kunielewa mie wa rangi gani
![]()

Ila ana rohoWa kishua huyo haambatani na walala hoi
Kama wind 😊😊😊.. ikatokea mtu wa jf akanijua hata 1/3 nalala mbele nakuja na ID nyingine 😂😂😂😂😂Hata nikibisha
Itanisaidia nini
Eti![]()
HakikaIla ana roho
Iliyokunjuka
Kuna wa kishua ni mapepo
Roho zao zimefinyangana ka utumbo
Kesho nina ngwe ndefuKama wind.. ikatokea mtu wa jf akanijua hata 1/3 nalala mbele nakuja na ID nyingine
![]()
Mwanangu mext time huniachi haiwezekani mema ya nchi ule mwenyeweee..Kesho nina ngwe ndefu
Ngoja nilale
Kilimanjaro/Arusha
Thank You Dada.
Selfika basi we bintiThank You Dada.