KHH hivi vyakula vya kishua sana..nitawaletea minyoo usumbufu.Karibuni aseee...
cocastic mahondaw Chakorii
Naona tumeshinda wote hapa, karibuni tupooze njaa tuendelee kutafuta ridhiki kwa pilatoView attachment 2068342
Cappuccino yes nitakunywa..na ka kahawa pembeni
View attachment 2068348
πππ Ugali na dagaa kwa kazi gani umefanya toka asubuhi zaidi ya story tataaa ππKHH hivi vyakula vya kishua sana..nitawaletea minyoo usumbufu.
Hakuna ugali tembele Na dagaa hapo
karibu sana, acha nile basi kwanza badae πππCappuccino yes nitakunywa..
Kwa kazi ya kumchosha mtoto wa mtu kwenye selfikaπππ Ugali na dagaa kwa kazi gani umefanya toka asubuhi zaidi ya story tataaa ππ
Haya kula kwanza mtoto wa watu.pole Kwa uchovukaribu sana, acha nile basi kwanza badae πππ
Nitapitia ya juu [emoji3][emoji3]Njia sio hiyo hiyo au utabadirisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaa mie kula kulala tu [emoji28][emoji28]kazi maalumu, mtu maalumu.. kitambulisho kina sign ya mtu maalumu
Karibu [emoji1][emoji1]Nishakuona, nakujaaaaa[emoji23][emoji23][emoji54]
πππ deal done sidhani kama natoboa 2022 watoto huku wana maksudi sana.. ili tu nishindweHaya kula kwanza mtoto wa watu.pole Kwa uchovu
kila mtu ni kulala kulala aseee ππHahaa mie kula kulala tu [emoji28][emoji28]
Kutoboa utatoboa lakini Kwa tabu Na utakuwa Na uchovu mwingi mnoπππ deal done sidhani kama natoboa 2022 watoto huku wana maksudi sana.. ili tu nishindweView attachment 2068370
labda niwe najifungia ndani, hapa nimekuja kula baraaa ambalo nimekutana nalo hadi najutaaa ππππKutoboa utatoboa lakini Kwa tabu Na utakuwa Na uchovu mwingi mno
Na kweli nipo hoi, hapa nikirudi nalala kama lastborn ππππHaya kula kwanza mtoto wa watu.pole Kwa uchovu
Sema labda usiingie selfika..ukiingia tu..tunakutwisha uzito kichwanilabda niwe najifungia ndani, hapa nimekuja kula baraaa ambalo nimekutana nalo hadi najutaaa ππππ
Ulale tu kwakweliNa kweli nipo hoi, hapa nikirudi nalala kama lastborn ππππ
Nisije kula mtu wa mtu kimasihara nikaharibu ubikra wangu bureeee ππππ nitajitunza sana nisichafue mwaka wangu huuSema labda usiingie selfika..ukiingia tu..tunakutwisha uzito kichwani
Nimeingia kupiga tangawizi na kashata ya uswazi kabla ya kwenda kulala.. hii inafanya misuli kuwa imara mda wote πππUlale tu kwakweli
Mimi nakataa hakuna kimasihara kwenye kupiga game.Nisije kula mtu wa mtu kimasihara nikaharibu ubikra wangu bureeee ππππ nitajitunza sana nisichafue mwaka wangu huu