Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].. sie ndio tunajua aseeee... usitake nikumbusha wakati nimeacha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. nisije anza tafuta phonebook ya kanokia tochi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu mwaka ni mrefu kwa baadhi ya watu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kumbe bado junior sanaa.. kuna mixer nikikupa hapa hutotamani utoke ndani ila acha nikaushe tu.. utuu uzima dawa [emoji23][emoji23]
Hebu weka bhana, ili nkampe mtu flan ujuzi huo.
Plz weka tunafundishana maujuzi mbali mbali, Elimu haina mwisho. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndo zangu hizo zamani, mtoto hadi alikuwa ananitia kabali kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnakata stimu bhana, inatakiwa ugune km caterpillar linalokwangua vipande vya kokoto. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa unatoa kelele khaaah, inaboaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnakata stimu bhana, inatakiwa ugune km caterpillar linalokwangua vipande vya kokoto. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa unatoa kelele khaaah, inaboaaa.
Mie nanguruma kama subaru mbovu  na niki kitupa chaliii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…