Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Jan 4, 2022 #131,961 mahondaw said: Huo mfungo wetu wanawake wa vijijini hahaha.... Nikifunga hivi huwa inafunguka funguka so napendelea kuifunga shingoni naikaza haswa!View attachment 2067839 Click to expand... Wakubwaa wanafaidiìiii
mahondaw said: Huo mfungo wetu wanawake wa vijijini hahaha.... Nikifunga hivi huwa inafunguka funguka so napendelea kuifunga shingoni naikaza haswa!View attachment 2067839 Click to expand... Wakubwaa wanafaidiìiii
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Jan 4, 2022 #131,962 mahondaw said: Kweli tena! Click to expand... Labdaa...
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 4, 2022 #131,963 mahondaw said: Huo mfungo wetu wanawake wa vijijini hahaha.... Nikifunga hivi huwa inafunguka funguka so napendelea kuifunga shingoni naikaza haswa!View attachment 2067839 Click to expand... OMG we mwanamke utawauwa watoto wa mwanamke mwenzio ujue🤣 Wanaume wanafaidi jamani kha
mahondaw said: Huo mfungo wetu wanawake wa vijijini hahaha.... Nikifunga hivi huwa inafunguka funguka so napendelea kuifunga shingoni naikaza haswa!View attachment 2067839 Click to expand... OMG we mwanamke utawauwa watoto wa mwanamke mwenzio ujue🤣 Wanaume wanafaidi jamani kha
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,819 Reaction score 233,249 Jan 4, 2022 #131,964 Lee said: Ndo vizuri kama uko na furaha Click to expand... Hakika
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,988 Reaction score 177,224 Jan 4, 2022 #131,965 Lee said: Wakubwaa wanafaidiìiii Click to expand... 🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸😜😜😜😜! Bosiii wewee 👈!!
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,758 Jan 4, 2022 #131,966 Chakorii said: Ninaiman kunasiku nitahamia mwanza.ninapapenda sana. Nitaongea NA daddy Shimba Ya Buyenze afanye namna hakuna jinsi Click to expand... Unasubiri nini kuhamia.. asee unachelewa... Binafsi mwezi huu wa pili nahamia mwanza kwa mda wa mwaka mmoja mfululizo 😂😂😂
Chakorii said: Ninaiman kunasiku nitahamia mwanza.ninapapenda sana. Nitaongea NA daddy Shimba Ya Buyenze afanye namna hakuna jinsi Click to expand... Unasubiri nini kuhamia.. asee unachelewa... Binafsi mwezi huu wa pili nahamia mwanza kwa mda wa mwaka mmoja mfululizo 😂😂😂
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,988 Reaction score 177,224 Jan 4, 2022 #131,967 Lee said: Wakubwaa wanafaidiìiii Click to expand... 🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸😜😜😜😜! Bosiii wewee 👈!!
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 4, 2022 #131,968 Lee said: Wakubwaa wanafaidiìiii Click to expand... Mnooo
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,988 Reaction score 177,224 Jan 4, 2022 #131,969 ERoni said: Siku njema sana mdada! Click to expand... Asante nawe pia have a good and wonderful day!
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 4, 2022 #131,970 ERoni said: Click to expand... Umecheka Kwa sauti mno ERon.. 😁😁 Ndio ukweli lakni
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,758 Jan 4, 2022 #131,971 Chakorii said: OMG we mwanamke utawauwa watoto wa mwanamke mwenzio ujue🤣 Wanaume wanafaidi jamani kha Click to expand... Wanaume wenye hela ndio wanafaidi, wanaume ambao tupo kundi la wa hovyo hovyo ni mateso.. tunaishia kuzoom na ku screenshot kwa matumizi ya matamanio
Chakorii said: OMG we mwanamke utawauwa watoto wa mwanamke mwenzio ujue🤣 Wanaume wanafaidi jamani kha Click to expand... Wanaume wenye hela ndio wanafaidi, wanaume ambao tupo kundi la wa hovyo hovyo ni mateso.. tunaishia kuzoom na ku screenshot kwa matumizi ya matamanio
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 4, 2022 #131,972 Lee said: Jf money hapo itahusikaaaa Click to expand... Fanya ihusike changu lee hakuna namna
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,988 Reaction score 177,224 Jan 4, 2022 #131,973 Chakorii said: OMG we mwanamke utawauwa watoto wa mwanamke mwenzio ujue🤣 Wanaume wanafaidi jamani kha Click to expand... Siaminiii nawewe wakuniambia hivo kweli!!😜😜😁😁!!
Chakorii said: OMG we mwanamke utawauwa watoto wa mwanamke mwenzio ujue🤣 Wanaume wanafaidi jamani kha Click to expand... Siaminiii nawewe wakuniambia hivo kweli!!😜😜😁😁!!
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 4, 2022 #131,974 Kijana wa hovyo hovyo said: Unasubiri nini kuhamia.. asee unachelewa... Binafsi mwezi huu wa pili nahamia mwanza kwa mda wa mwaka mmoja mfululizo 😂😂😂 Click to expand... Hebu hamia vizuri vizuri niwe mgeni wako😋
Kijana wa hovyo hovyo said: Unasubiri nini kuhamia.. asee unachelewa... Binafsi mwezi huu wa pili nahamia mwanza kwa mda wa mwaka mmoja mfululizo 😂😂😂 Click to expand... Hebu hamia vizuri vizuri niwe mgeni wako😋
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,988 Reaction score 177,224 Jan 4, 2022 #131,975 Kijana wa hovyo hovyo said: Wanaume wenye hela ndio wanafaidi, wanaume ambao tupo kundi la wa hovyo hovyo ni mateso.. tunaishia kuzoom na ku screenshot kwa matumizi ya matamanio Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣hela zinatufanya kuwa watumwa! Haha
Kijana wa hovyo hovyo said: Wanaume wenye hela ndio wanafaidi, wanaume ambao tupo kundi la wa hovyo hovyo ni mateso.. tunaishia kuzoom na ku screenshot kwa matumizi ya matamanio Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣hela zinatufanya kuwa watumwa! Haha
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 4, 2022 #131,976 Kijana wa hovyo hovyo said: Wanaume wenye hela ndio wanafaidi, wanaume ambao tupo kundi la wa hovyo hovyo ni mateso.. tunaishia kuzoom na ku screenshot kwa matumizi ya matamanio Click to expand... Ni ukorofi😂😂ukiitunza make shua unamlipa pesa yake maana najua utaifanyia kazi siku moja
Kijana wa hovyo hovyo said: Wanaume wenye hela ndio wanafaidi, wanaume ambao tupo kundi la wa hovyo hovyo ni mateso.. tunaishia kuzoom na ku screenshot kwa matumizi ya matamanio Click to expand... Ni ukorofi😂😂ukiitunza make shua unamlipa pesa yake maana najua utaifanyia kazi siku moja
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,758 Jan 4, 2022 #131,977 mahondaw said: 🤣🤣🤣🤣🤣zinatufanya kuwa watumwa! Haha Click to expand... Kila mtu ni mtumwa kwa jambo flani.. ila anafaidi brother kaka anekula hizo lips.. watoto wadogo acha tutulie tusikosee adabu mali za makaka wetu
mahondaw said: 🤣🤣🤣🤣🤣zinatufanya kuwa watumwa! Haha Click to expand... Kila mtu ni mtumwa kwa jambo flani.. ila anafaidi brother kaka anekula hizo lips.. watoto wadogo acha tutulie tusikosee adabu mali za makaka wetu
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 4, 2022 #131,978 mahondaw said: Siaminiii nawewe wakuniambia hivo kweli!!😜😜😁😁!! Click to expand... Ohooo nimepitiwa na mwandiko.Ila kuna wanaume wanafaidi jamani ukunjwe vizuri 🙆🏿♀️
mahondaw said: Siaminiii nawewe wakuniambia hivo kweli!!😜😜😁😁!! Click to expand... Ohooo nimepitiwa na mwandiko.Ila kuna wanaume wanafaidi jamani ukunjwe vizuri 🙆🏿♀️
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,758 Jan 4, 2022 #131,979 Chakorii said: Ni ukorofi😂😂ukiitunza make shua unamlipa pesa yake maana najua utaifanyia kazi siku moja Click to expand... ☺️☺️ picha tunalipia kwa mafungu, sasa bado fungu la picha zake kulipiwa hazijafika idadi yake.. akazane kazane kurusha 😂😂😂
Chakorii said: Ni ukorofi😂😂ukiitunza make shua unamlipa pesa yake maana najua utaifanyia kazi siku moja Click to expand... ☺️☺️ picha tunalipia kwa mafungu, sasa bado fungu la picha zake kulipiwa hazijafika idadi yake.. akazane kazane kurusha 😂😂😂
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 4, 2022 #131,980 Kijana wa hovyo hovyo said: ☺️☺️ picha tunalipia kwa mafungu, sasa bado fungu la picha zake kulipiwa hazijafika idadi yake.. akazane kazane kurusha 😂😂😂 Click to expand... Na anajitahidi mno mwaka huu..ajengewe sanamu lake
Kijana wa hovyo hovyo said: ☺️☺️ picha tunalipia kwa mafungu, sasa bado fungu la picha zake kulipiwa hazijafika idadi yake.. akazane kazane kurusha 😂😂😂 Click to expand... Na anajitahidi mno mwaka huu..ajengewe sanamu lake