Mfungo wako wa kanga umenikumbusha mbali sana..kipindi hicho nikifunga namna hiyo kitako kilikuwa kinachomoka chomo ππ sijui hata kimepoteleaga wapi kitako changu jamani π€£
ππ Mwanza patamu, utafurahi sana kuanzia sasa.. Mwanza raha, hakuna kash kash kama za Dar es Salaam.. utachagua tu viwanja vya kwenda.. hadi uhamie moja kwa moja...