Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Vipii kuhusu makabila yanayo acha maziwa wazi?Siyo ya kawaida, hiyo ni tafsiri ya kwamba mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanaume.
Sijui kama umeielewa point yangu mkuuYa kawaida sana..picha za beach watu wako picnic na maeneo yanayoendana na hayo wanapiga sana, picha ya kawaida mnooVipii kuhusu makabila yanayo acha maziwa wazi?
Hivii, usingizi wako, daktari wako, kipenzi chako, laazizi wako na mama watoto wako akapost hivyo unavyoshauri, halafu mwanaume mmoja wa mtandaoni akamtumia hiyo 30k, how would you feel about it mkuu Hazard.?Waweke kama hii basi...30k kwa yoyote atakae karibia hiiView attachment 1227045
Sijui kama umeielewa point yangu mkuu
Hivii, usingizi wako, daktari wako, kipenzi chako, laazizi wako na mama watoto wako akapost hivyo unavyoshauri, halafu mwanaume mmoja wa mtandaoni akamtumia hiyo 30k, how would you feel about it mkuu Hazard.?
Hata sijaelewaWewe hupigwi busu ukalegea.
ndomana reply zako hazitoki mbali
Sasa soma tena ile comment yangu pale juuHembu iweke vizuri point yako niilewe?
Talk is very easyKawaida tu mbona atakua kapendeza tu...tena chini hapo afunge vimtandio vile vya kichokozi basi hapo ni burudani mujarabu kabisa
Kazi ipo hapa kwakweli..!!Kawaida tu mbona atakua kapendeza tu...tena chini hapo afunge vimtandio vile vya kichokozi basi hapo ni burudani mujarabu kabisa
Kazi ipo hapa kwakweli..!!
KabisaaKumbe ndiyo maana huwa hauongei chochote?? Basi mie nikajua unakaa kimya sababu huwa unayasapoti haya mafurushi!![emoji23][emoji23]lakini pia hata kukaa kimya nako ni busara usiwe mbishi kama dada yako hapa[emoji1787][emoji1787]maana kubishana na mafurushi nako yataka moyo mkubwa kama wa nyangumi
Yako ikwapi?Mmegoma kuweka picha...
Kabisaa
Mimi huwa siwezi kubishana nao, seriously mtu aweke picha nusu utupu sababu ya 30thao?!
Ni lini wataelewa utu wa mtu hauthaminishwi na fedha!! Ndo maana nawaangaliaga tuu mimi jamani!
Kama vidole viko hivi.. mapaja yatakuaje?[emoji3578]View attachment 1227486
Njoo nikutumie pm..Yako ikwapi?
Kama vidole viko hivi.. mapaja yatakuaje?
Imeilizwa na ndugu gogomoka mitomingi
Nataka nikuone hapaNjoo nikutumie pm..
Basi tunaomba tuone hiyo kawaidaKawaida tu !!