Selfika na JF: Snap it. Show it

Amen..Amen Satoh..

Ni ikawe hivyo IJN..
Uwe na mwaka mpya mwema kwako..Mafanikio na Baraka zikawe pamoja nawe..

Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki. Mwaka huu na ukawe mwema kwako na wapendwa wako mpaka ushangae ufurahi hadi uirudishe avatar na ID yangu niipendayo sana...[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji16][emoji16][emoji91][emoji91][emoji91]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…