Selfika na JF: Snap it. Show it

Amna bwana watu wa kule na wahuku ni wale wale tu kama ulivyo wewe kule haupo tofauti na wa hapa
Wee hapa tupo tofauti mkuu kule kuna uhalisia hapa ufeki sana..humu kasoro miye tu ndio wakuja chokambaya mlobaki wote kila mtu tajiri wa mjiniiii ana pesa magari ! Humu watu tupo singo japo tumeolewa,, tuna watoto humu hatujazaa babuu,,,👌 hatuna wake/ Waume huku tunaishi nao hahaha si ya kucheka haya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…