Selfika na JF: Snap it. Show it

Kiukweli kabisa, isingekuwa huo mng'ao (ambao nimeashum ni mafuta amepaka) ningemuelewa sana
Achani kuung stori za uongo hayo sio mablack kama mnavosema hizo ni nywele zangu original zaidi ya shampoo na mafuta ya kuza sijawahi paka hayo mablack ushahidi upo wanaoniona kila siku wanajua kichwa nikisafi sana zaidi ya sana KLBY
 
Wanaume wanaopaka hayo madude sijui wanakwama wapi aseeee! !Gentleman kama huyo daahh! !

Cc Smart911
KLBY sio black hiyo ni nywele yangu originalhapo kuna kuza tu nimepaka labda sababu ni safi kama ningepaka black isingeonekana io alama, sijwah paka mablack uliza usiropoke au nikuoneshe picha za nywele zangu?
 
Achani kuung stori za uongo hayo sio mablack kama mnavosema hizo ni nywele zangu original zaidi ya shampoo na mafuta ya kuza sijawahi paka hayo mablack ushahidi upo wanaoniona kila siku wanajua kichwa nikisafi sana zaidi ya sana KLBY
Mimi nimesema mafuta, hayo manini unayajua wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…