Hapana, huyu mtoto anataka ushauri wa kisaikolojia mkuu. Mie nataka msaidia kabisa, inabidi kabisa kwanza apate uangalizi masaa yote inafaa haje kabisa kukaa hapa nyumbani ili nimpatie uangalizi mzuri