Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

.....katika dunia ya pori na wanyama, kuwa SIMBA...
IMG-20191007-WA0019.jpeg
 
Si unaona hiyo ni ratiba ya Cinema.. bado haijaachiwa torrents ukizingatia bado wameingiza kama 11mils as profit.. tuisubiri mpaka mbeleni huko au uchukue Cam ambayo sio Clear copy. I'm excited to Joker. Yaani ratiba sema iko tight
 
that's the deal now 'enjoying the moment' though sometimes it's really sucks knowing that 'you're only being taken for a ride'..!!

Lakini dear si usually it's a two way traffic thing, ni mapatano ya wawili tokea mwanzo...

Ukisema being taken for a ride, kinda sounds like you're being dragged into something without somehow you being in control/without personal will...
 
Back
Top Bottom