Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,239
- 95,464
inatakiwa mkiamka tu mje humu mtupie selfie moja kali
Hivi wewe ulishaweka kweli?inatakiwa mkiamka tu mje humu mtupie selfie moja kali
[emoji7][emoji7]alikuwa anakuambia nini?Kabint kangu / chat na pichaView attachment 2052062
[emoji23] Kuna kawimbo anakaimba maneno hata hayasikiki[emoji7][emoji7]alikuwa anakuambia nini?
Au hela ya nguo za Christmas
Huyo Dada ana mashine ya photocopy!!! Sio kwa mfanano huo!Kabint kangu / chat na pichaView attachment 2052062
billdrago eti tuambie [emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watani zangu wahehe mniambie hiki neno "Munio" lina maana gani.? View attachment 2051857
[emoji23][emoji23] eti photocopy machineHuyo Dada ana mashine ya photocopy!!! Sio kwa mfanano huo!
Tukule ubwabwa[emoji847]She said.....View attachment 2052137
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] twende tukamuage bachelaTukule ubwabwa[emoji847]
Naomba nipewe kadi....She said.....View attachment 2052137
[emoji23][emoji23][emoji23] twende twende ii aina kadi unakuja tu
Nikukute hapo Kimara aisee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] twende tukamuage bachela
Duhh! Mzee unajua, unaweza, na una mbinu za kula[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]