acha uchoyo bhana dimpoz unigawie,
Kweli wii ntakua chuga, labda ratiba ibadilike,
Tatzo unakuta ratiba inakua nije chugaa mara ghafla inabadilika nibaki dar,
c unajua tena vileeee.
Ila this time hata ikibadilka ntalazimisha niwe chuga, ili tukeshe kupiga ulabu usiku wa tar 24.