Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanyakyusa tupo wa Kyela na wa Rungwe mkuu. Mimi ni wa Kyela but nimeishi Mbeya mjini for more than three years na nimetembea wilaya karibu zote za mkoa wa Mbeya.
Okay, ila akiongea Mnyaki wa Kyela na wa Rungwe anaelewa?

Nitaomba unipe training ya Lugha yenu, nimejikuta naipenda hasa lafudhi. Ughonile, Ndagha Kyala 🙆🙈
 
Okay, ila akiongea Mnyaki wa Kyela na wa Rungwe anaelewa?

Nitaomba unipe training ya Lugha yenu, nimejikuta naipenda hasa lafudhi. Ughonile, Ndagha Kyala
Kinyakyusa ni kimoja mkuu wanyakyusa wote tunaelewana. Na lugha yetu inaingiliana baadhi ya maneno na Kindali.

Sisi siyo kama wachaga. Kwamba eti mmarangu haelewani lugha na mmachame no sisi wote tunaelewana 100 percent.

Waambie Saint Anne na geraldincredible wakufundishe. Mimi bado sijakimaster vizuri kuna baadhi ya misamiati siijui.
 
Yaani siyo kuingiliana tu!,inafanana maneno yote kasoro pronounciation tu.

Mikoa yetu ilivyo na lugha nzuri,,yaani mndali na mnyakyusa wanaongea na wanaelewana pasi na matatizo.

Na kule ileje mndali na mnyiha wanaelewana vizuri...
Halafu kinyiha nacho ni kisafwa kilichochangamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…