Yeah hata mimi huwa sipendi kupelekeshwa, kazi za ndani ambazo angalau napenda kufanya ni kufua na kusafisha nyumba. Kwa sababu sipendi kuvaa nguo chafu wala sipendi kukaa kwenye mazingira machafu, ila kupika na kuosha vyombo daaaah hapana kwa kweli nisiwe muongo hizo huwa nazifanya basi tu.