Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyo wa mwisho dah! Huwa ananimalizaga sana kwa hiyo kauli yake!

Yaani hata ukiona msambwanda unatikisika tu ukakata shingo na vimawazo vya kirijali vikakujia basi umekwisha. Kuingia mbinguni tutaingia kwa rehema tu kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…