Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Yani ukiselfika wewe tu baaasi mimi ni nani nishindwe??
Tena siweki hata emoji wala si crop
Shusha mzigo Nkamu
Siamini leo pia nimekosa[emoji1787]
Wacha utani mama mchungajiSiamini leo pia nimekosa[emoji1787]
Dah mjep[emoji16]
Pole ,AR ni changamoto inahitaji ueleweshwe vyema ndiyo utaishi nayo kwa amani. Pole sanaYah ni allergy[emoji19]
Mimi nimeselfika mara kibao sana muulize Saint Anne akwambie ni mara ngapi na picha ziko huko juuHivi na wewe hujawahi kuselfika nkamu au nilipitwa?
Me anachukua experience nje anaileta na kuboresha ndani mwake. Ke anatoa experience ndani anaipeleka nje.Experience hiyo kwio
Sijawahi kuwa na amani nayo[emoji17]Pole ,AR ni changamoto inahitaji ueleweshwe vyema ndiyo utaishi NATO kwa amani. Pole sana
Dah mjep[emoji25]Wacha utani mama mchungaji
Uje clinic tuongee.Sijawahi kuwa na amani nayo[emoji17]
Mimi nimeselfika mara kibao sana muulize Saint Anne akwambie ni mara ngapi na picha ziko huko juu
Pole mdogo wanguDah mjep[emoji25]
Hata kunitag!!![emoji2296]
Ahem.😋
Hakika anakumbukumbu zote maana nikiweka hapa atasema hiyo ni ya ngapi tangu uzi uanzishweNgoja nimuombe Saint Anne basi, ndiyo mtunza picha wetu; atakuwa ametunza na zako
Sawa mkuu.Uje clinic tuongee.
Mimi naomba vocha zangu.Pole mdogo wangu
Usibanduke basi mzigo mwingine unakuja soon
Nikupe ya nani na nani?Ngoja nimuombe Saint Anne basi, ndiyo mtunza picha wetu; atakuwa ametunza na zako
Surgery ina indications zake ,kama unazo unafanyiwa tu na nyingi huwa ni kutibu complications za AR na allergy hubakia pale paleSawa mkuu.
Ila nitakusikiliza na nitapata matumaini endapo utaniambia kuhusu surgery.
Hizi stori zingine nishachoka nazo..
Huu mwaka wa 11 just imagine[emoji16]
Uweke na ya kwakeNikupe ya nani na nani?
Unataka kipande au nzima?[emoji16][emoji1787]
Basi naomba unifungulie kwa waziri mkuu nikupe ya kwako unambie tu ni mtandao ganiMimi naomba vocha zangu.
Za kugombania siwezi[emoji1787]