Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Halafu kweli[emoji23][emoji23]. Chui chui day kwa wanyaki.View attachment 2044660
Duh!chuichui
Kusudi hizi zinaitwachuichui
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] chuichui day!!Duh!
Na mm naonaaNilipitiwa rafiki!!
Hapana bana Mirzs! Wee huoni hio trend ya chuichui leo??Kusudi hizi zinaitwa
Vizuri sana kama ni salama kabisa mahondawSalama kabisa Ely habari za huko??
Mnyaki gani leo mwingine katupia huko[emoji3]
Mwenzangu tafuteni[emoji23][emoji23]
Ushafika au bado??Na mm naonaa
Umekwenda kazini???????Sasa si nimekuja kazini jamani ilikua lazima Chui Chui avaliwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Madaktari wanakutana na madera tu
Oh!!kumbe ni mwili mzima[emoji23][emoji23]Mwili mzima jamani sema nimekunywa dawa atleast nafuu, asante.
Usije ukanisahau na chuichui wako mwanawane.Madameeeeee looking gorgeous
Ngoja nikatafute chuichui na mimi, siwezi kupitwa khaaa
Oh!!kumbe ni mwili mzima
Pole sana mpendwa
Wewe umevaa pakapaka bhana[emoji3]chuichui anawasindikiza wanyaki
Duh! Hatari kasorobo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] chuichui day!!
Umekwenda kazini???????
Hujipendi mbona?? Si ungeangalia afya kwanza??
Halafu madaktari wao hawajali ujue dera,tight, wao wanajifanya kupima tu kwa kutumia mikono yao
Ndio kusema mmetuamulia???Hapana bana Mirzs! Wee huoni hio trend ya chuichui leo??
Saint Anne naye katupia. Hivi Hannah na wewe ni nyumbani?
chuichui anawasindikiza wanyaki
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Paka jamani!!! Vipi leo hakuna vitu vya kasava??