Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,209
- 183,048
Hahaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]Weusiii na wanametametaaa....hip hop
Hahaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]Weusiii na wanametametaaa....hip hop
Mida ya kuchomwa sindano nesiiiHahaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
I'm feeling sleepy! Vipi niwaachie ile selfie ya usiku mwema au???Weusiii na wanametametaaa....hip hop
Nani kasemaa, kila mtu alalee 😄😄😄I'm feeling sleepy! Vipi niwaachie ile selfie ya usiku mwemavau???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] lol usiwaze mgonjwa wangu haya kaa vizuri naleta injection!Mida ya kuchomwa sindano nesiii
Na nimegomeshaa kuponaa...utanipigaa ata z nusu kaputiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787] lol usiwaze mgonjwa wangu haya kaa vizuri naleta injection!
Picha gani tena...Picha irudiwe kabla stori hazijawa nyingi
Mimi ninani hata nibishe!!! [emoji124][emoji124]Nani kasemaa, kila mtu alalee [emoji1][emoji1][emoji1]
🤣🤣🤣🤣🤣 ulikuwa unabembeleza kama valeeHaki ya nani!
Yaani niliyeomba picha sijaona[emoji134]
Haiwezekani kabisa.
Msinitan
Kila abiria anachunga mzigo wake japo wewe sio mzigoMimi ninani hata nibishe!!! [emoji124][emoji124]
Unavomdekea nesi sasa kazi ninayo mbona! Itabidi usiku huu nikupe overdose nipumzike unadeka sana!Na nimegomeshaa kuponaa...utanipigaa ata z nusu kaputiiii
Joliiiiiiiiiiii
Ukinioverdoze tabu unapata wewe kumbuka make hutolala😀😀😀Unavomdekea nesi sasa kazi ninayo mbona! Itabidi usiku huu nikupe overdose nipumzike unadeka sana!
Nimetoka nilienda kujibu comments huko mjini MMU[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulikuwa unabembeleza kama valee
Ngoja kama atakubariiiNimetoka nilienda kujibu comments huko mjini MMU
Dah
Hebu rudisheni picha nyie.
Chaaah![emoji1787]Picha gani tena...
CheeeeehChaaah![emoji1787]
Nyie msinifanye nikaanza kudai picha hapa kwa kutia huruma[emoji38]Ngoja kama atakubariii
Chooo[emoji23]Cheeeeeh