Selfika na JF: Snap it. Show it

View attachment 2044292
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]

Mjukuu njoo haraka. Ostaadh anakula kwenye restaurants zinazopokea dola tu na siyo haya madafu yetu. Una maoni gani kuhusu hili?
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Safi sana. Ngoja tuone atakuja na mbinu gani zaidi. So far:

Saa ghali orijino
Misosi ghali inayolipiwa kwa dola
Pesa OG za madafu

Endelea kumkazia huyu Ostaadh...haaminiki!

Mpatie mjukuu wako hizo! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
I envy her for real [emoji7][emoji7]

Just keep praying for her and she will fulfill her dreams [emoji120][emoji120]
 
View attachment 2044387
Mpatie mjukuu wako hizo! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Hapa naona mjukuu atasalimu amri. Ngoja aje tumuone atasemaje...

Niliwahi kushika vibunda vitatu vya 10K kila kamoja kwa siku moja aisee nilijiona kama Floyd Mayweather. Hakukosea aliyesema pesa ni sabuni ya roho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…